Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.
Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.

Wednesday, July 5, 2017

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 05.07.2017 .

Alexandre Lacazette amekamilisha vipimo vya afya Emirates na mkataba wake wa miaka mitano wa pauni milioni 52 unatazamiwa kuthibitishwa baadaye leo (BBC, Sky). Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney, 31, ameondolewa kwenye kikosi kitakachosafiri kwenda Marekani, na atakamilisha uhamisho wake wa bila malipo kurejea Everton mwishoni mwa wiki. Everton pia wanataka kumsajili Olivier Giroud, 20, kutoka Arsenal kwa pauni milioni 20 (Sun).

No comments:

Post a Comment

Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.