Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.
Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.

Tuesday, July 18, 2017

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 18.07.2017

Mabingwa wa England, Chelsea wana "nia thabiti" ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 29. (Sky Sport) Chelsea wanazungumza na Manchester City kuhusiana na usajili wa Sergio Aguero. (beIN Sporst) Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovic hayuko tayari kulipa fedha nyingi kumsajili Alvaro Morata, 24, kutoka Real Madrid, huku kukiwa na taarifa kuwa mchezaji huyo anaelekea Italia. (Star) Chelsea wanafikiria kumrejesha tena Stamford Bridge, beki wa Southampton Ryan Bertrand. (Evening Standard)

No comments:

Post a Comment

Photo of the Remarkables mountain range in Queenstown, New Zealand.