Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science
katika Guangdong University kilichopo Guangzhou, China na leo ameonyesha
picha mbalimbali kutoka kwenye graduation yake.
Thursday, June 22, 2017
PICHA: Jux amaliza utata alichokuwa anafanya China…katuonesha hizi picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment